Bajaj Inauzwa

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
18,968
Reaction score
22,433

TVS King - T 9#5 CBR
Imetumika mwaka mmoja na nusu
Bei 2700000
Kwa maelezo zaidi 0784313205
 
imetumika wapi, barabara za vumbi au kwenye lami?
Zipi sababu za kuuza, ina ubovu wowote?
 
imetumika wapi, barabara za vumbi au kwenye lami?
Zipi sababu za kuuza, ina ubovu wowote?

Imefanya kazi barabara zote mkuu na dhumuni la kuuza ni kuwa nabadili biashara Maana mimi naweza kusafiri hakuna mtu wa kuisimamia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…