Bajaj 4stroke inauzwa ipo katika hali nzuri imetembea miezi 6 toka inunuliwe ni kama mpya
ipo maeneo ya sinza kumekucha
bei 3.5 milioni
contact
0714812375
ndugu yangu biashara ngumu kila siku kugombana na madereva kama unaitaka tuwasiliane imebaki moja tuu ni deal na biashara nyingine biashara ya bajaj imenishinda