Pikipiki inauzwa
Make:bajaj
Model:boxer bm150
Registration:T...CKM
Mileage:16020
Colour:maroon(red)
Price:1.8mil(negotiable)
Nimeshindwa kuapload picha sababu zipo kwenye pc,na mimi nimepost kupitia simu,ila kwa maelezo zaidi na kuiona wasiliana na
Raymond Bakari,simu namba 0712228690,ndie mmiliki.mtu wa kati hatakiwi
Naomba kuwasilisha