Mchunguze vizuri mkeo huenda kwenye swala la rangi ulichagua mkorogoWanajukwaa mambo.Leo tupeane mawazo kidogo kuhusu hili swala ambalo limekuwa likileta sintofahamu,migogoro na hata kuvunjika kwa ndoa/mahusiano.Hii imeeathiri wengi hata jirani yangu yalimkutaga .Yaani unakuta mama mweupe mama mweupe watoto weusi ti.kama naisikia ngoma ya bushoke vile"Huyu katoka kwa Babuuuuuu''Hebu tupeane uzoefu wajumbe
Na baba je?Yaani unakuta mama mweupe mama mweupe watoto weusi ti.
Wajumbe wanakuja.Hebu tupeane uzoefu wajumbe
🤝👍👏Baba ni mweupe kasi gani ni weupe hasa au nusu nusu?
Je Mama nae, mweupe kwa kiasi gani?
Kama wote wawili walirithi chini ya asilimia 50 ya rangi dominant ya wazazi wao na hapa kuna uwezekano wakawepo weusi kwenye ukoo, basi watoto wao wanawaza kutoka na rangi nyeusi tii inayo- dominate kwa mababu na mabibi zao.
Hapo ujue umepigwa na kitu kizito.umeibiwaWanajukwaa mambo.Leo tupeane mawazo kidogo kuhusu hili swala ambalo limekuwa likileta sintofahamu,migogoro na hata kuvunjika kwa ndoa/mahusiano.Hii imeeathiri wengi hata jirani yangu yalimkutaga.
Yaani unakuta mama mweupe mama mweupe watoto weusi ti.kama naisikia ngoma ya bushoke vile"Huyu katoka kwa Babuuuuuu''Hebu tupeane uzoefu wajumbe
#Wadau wa genetics na wafukunyuzi wa mambo najua majibu hamkosi.
Aiseee nimeipenda,du i wish unicheck namba yako pm naona kuna mengi nawezajifunzainawezekana
nina mapacha wakike wawili mmoja pure black mwengine mweupe
mimi na mwenzangu wote ni pure black same kwa wazazi wetu
siku moja nilikuwa namtania huyu mweupe namwambia wewe unapaka mkorogo wewe akawa anacheka tu maana haelewi hata ilikuwa ni ile kucheza mama na mtoto lakin babu yao alikuwepo pembeni akaniambia unamuona huyo mtoto marehemu mama yangu mzazi alikuwa hivyo hivyo hadi haiba hiyo hiyo
nikaanza sasa kuelewa kwanini anampenda sana kuliko huyu mwingine yaani wana bond kubwa sana they can spend hours together na usielewe mtu mzima anaongea nini na mtoto wa 3yrs
kuja huyu cheusi mangala ni pure baba angu yaani ile kufanana hadi kichwa kilivyokaa na aina ya nywele
Karibu sanaAiseee nimeipenda,du i wish unicheck namba yako pm naona kuna mengi nawezajifunza
iyo inaitwa mbagala rangi3 mkuuWanajukwaa mambo.Leo tupeane mawazo kidogo kuhusu hili swala ambalo limekuwa likileta sintofahamu,migogoro na hata kuvunjika kwa ndoa/mahusiano.Hii imeeathiri wengi hata jirani yangu yalimkutaga.
Yaani unakuta Baba mweupe mama mweupe watoto weusi ti.kama naisikia ngoma ya bushoke vile"Huyu katoka kwa Babuuuuuu''Hebu tupeane uzoefu wajumbe
#Wadau wa genetics na wafukunyuzi wa mambo najua majibu hamkosi.