Atubinjukile Mwakipozi

Navosikia, Mbeya kuna baridi sana. Huyo dada na hiyo staili haumizi maeneo kwa baridi kali?
 
Ila wapiga picha wanakutana na majaribu kweli kweli
 
Hivi mmeona ubunifu wa jina lake? Atubinjukile Mwakipozi....hapo kuna KUBINJUKA na KUPOZI!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…