Asili yetu: Utengenezaji wa Togwa

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,723
Chachu ombara katika ziara yangu hukoooo kijijini kwetu.

1. Ndizi aina mbalimbali zikiwa zimemenywa na kuekwa kwenye mtumbwi (Obwato)


2. Ndizi mbivu zikikanyagwa kwa miguu iliziweze kutoa juisi,(miguu yenye funza ndo mizuri hapa na juisi inakuwa tamu,joking)


3. Zoezi la kuchabanga ndizi likiendelea,hapochini nikiwa nna uchovu


4. Juisi ya ndizi mbivu ikiwa tayari imejitenga na tayari kwa kuchujwa kwa matumizi ya kunyweka.


Togwa inayopatikana hapa uchanganywa na mtama na baada ya siku kadhaa utengeneza pombe aina ya Rubisi wachaga wanaita mbege.Rubisi nayo inafanyiwa utaalam na kutengeneza gongo.
 

Attachments

  • jf1.JPG
    33.6 KB · Views: 474
  • jf2.JPG
    48.3 KB · Views: 496
  • jf3.JPG
    61 KB · Views: 491
  • jf4.JPG
    64.2 KB · Views: 450
Mleta mada naomba kujua kitu kimoja, hivi kutengeneza pombe ni kipaji au?

Kama ni kipaji basi umebarikiwa.
 
Reactions: Paw
mbege haitengenezwi kiuchafu hvo kwana ndizi huwa zinapikwa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…