Emma Lukosi JF-Expert Member Joined Jul 22, 2009 Posts 929 Reaction score 148 Dec 17, 2009 #1 Asali mbichi asilia inapatikana ya Nyuki wakubwa na wadogokuanzia lita moja hadi lita 1000. kwa mawasiliano zaidi. call me on 0713338342
Asali mbichi asilia inapatikana ya Nyuki wakubwa na wadogokuanzia lita moja hadi lita 1000. kwa mawasiliano zaidi. call me on 0713338342
Serendipity JF-Expert Member Joined Jan 24, 2009 Posts 486 Reaction score 44 Dec 18, 2009 #2 Hiyo asali ni yanyuki wakali au nyuki wapole?
GAMBLER JF-Expert Member Joined Nov 22, 2009 Posts 303 Reaction score 12 Dec 18, 2009 #3 hiyo asali inatoka mkoa gani, nyuki wake ni wa msituni au nyuki wa kufugwa??
GAMBLER JF-Expert Member Joined Nov 22, 2009 Posts 303 Reaction score 12 Dec 18, 2009 #4 kwa nini inakuwa asali mbichi, haijawiva vizuri??? wakati wa kuila itabidi ipikwe au????
Askofu JF-Expert Member Joined Feb 14, 2009 Posts 1,664 Reaction score 87 Dec 18, 2009 #5 imma said: Asali mbichi asilia inapatikana call 0713338342 Click to expand... Ni ya Nyuki wadogo au Nyuki wakubwa?
imma said: Asali mbichi asilia inapatikana call 0713338342 Click to expand... Ni ya Nyuki wadogo au Nyuki wakubwa?
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,366 Reaction score 3,561 Dec 18, 2009 #6 Sina hela ktk simu na nataka asali. Nkikubip na tiGO utanipigia tufanye bizinesi?
Emma Lukosi JF-Expert Member Joined Jul 22, 2009 Posts 929 Reaction score 148 Dec 22, 2009 Thread starter #7 inapatikana kwa aina zote nyuki wakubwa(wakali) na nyuki wadogo(wapole).
Emma Lukosi JF-Expert Member Joined Jul 22, 2009 Posts 929 Reaction score 148 Dec 22, 2009 Thread starter #8 poa bip
Emma Lukosi JF-Expert Member Joined Jul 22, 2009 Posts 929 Reaction score 148 Dec 22, 2009 Thread starter #9 zote zinapatikana wakubwa na wadogo.
Emma Lukosi JF-Expert Member Joined Jul 22, 2009 Posts 929 Reaction score 148 Dec 22, 2009 Thread starter #10 Tabora na njombe.
Pape JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 5,487 Reaction score 86 Dec 22, 2009 #11 imma said: Asali mbichi asilia inapatikana ya Nyuki wakubwa na wadogokuanzia lita moja hadi lita 1000. kwa mawasiliano zaidi. call me on 0713338342 Click to expand... Join Date: Wed Jul 2009 Posts: 6 Thanks: 0 Thanked 1 Time in 1 Post well noted
imma said: Asali mbichi asilia inapatikana ya Nyuki wakubwa na wadogokuanzia lita moja hadi lita 1000. kwa mawasiliano zaidi. call me on 0713338342 Click to expand... Join Date: Wed Jul 2009 Posts: 6 Thanks: 0 Thanked 1 Time in 1 Post well noted
Sipo JF-Expert Member Joined Jul 25, 2008 Posts 2,139 Reaction score 105 Dec 22, 2009 #12 imma said: Asali mbichi asilia inapatikana ya Nyuki wakubwa na wadogokuanzia lita moja hadi lita 1000. kwa mawasiliano zaidi. call me on 0713338342 Click to expand... hujaichanganya kweli wewe? Umeipata toka mikoa gani? Ukijibu kwa usahihi mikoa hiyo nitaamini kweli unayo ya ukweli otherwise ni changalamoto
imma said: Asali mbichi asilia inapatikana ya Nyuki wakubwa na wadogokuanzia lita moja hadi lita 1000. kwa mawasiliano zaidi. call me on 0713338342 Click to expand... hujaichanganya kweli wewe? Umeipata toka mikoa gani? Ukijibu kwa usahihi mikoa hiyo nitaamini kweli unayo ya ukweli otherwise ni changalamoto