Tumainiandy JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 432 Reaction score 91 Feb 25, 2015 #1 Nauza asali mbichi kutoka Geita ya nyuki wakubwa lita Tshs 10,000/ unahitaji tafadhali tuwasiliane kwa number 0767-906335. Karibuni
Nauza asali mbichi kutoka Geita ya nyuki wakubwa lita Tshs 10,000/ unahitaji tafadhali tuwasiliane kwa number 0767-906335. Karibuni
M Morinyo JF-Expert Member Joined Aug 26, 2011 Posts 2,797 Reaction score 1,593 Feb 26, 2015 #2 Uko wapi
Tumainiandy JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 432 Reaction score 91 Feb 26, 2015 Thread starter #3 Dar kimara
Tumainiandy JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 432 Reaction score 91 Mar 16, 2015 Thread starter #4 Asali ni kiungo kizuri kwenye chai badala ya kutumia sukari badilisha na utumie asali , kupaka kwenye mikate kama jam na vile vile kuweka kwenye juice.
Asali ni kiungo kizuri kwenye chai badala ya kutumia sukari badilisha na utumie asali , kupaka kwenye mikate kama jam na vile vile kuweka kwenye juice.
Tumainiandy JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 432 Reaction score 91 Apr 1, 2015 Thread starter #5 Sasa asali ukichanganya na mayai ya kware hapo utajua utamu wake na faida zake kwenye mwili ni kali kweli. karibuni
Sasa asali ukichanganya na mayai ya kware hapo utajua utamu wake na faida zake kwenye mwili ni kali kweli. karibuni
Tumainiandy JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 432 Reaction score 91 Jun 16, 2015 Thread starter #6 Karibuni kupata Asali
kabugira JF-Expert Member Joined May 14, 2014 Posts 1,186 Reaction score 659 Jun 16, 2015 #7 Tumainiandy said: Nauza asali mbichi kutoka Geita ya nyuki wakubwa lita Tshs 10,000/ unahitaji tafadhali tuwasiliane kwa number 0767-906335. Karibuni Click to expand... Mimi mchana napatikana karibu na maeneo ya Ocean Road Hospital kuanzia saa 1:300 hadi saa 9:30, nahitaji lita moja, utanisaidiaje?
Tumainiandy said: Nauza asali mbichi kutoka Geita ya nyuki wakubwa lita Tshs 10,000/ unahitaji tafadhali tuwasiliane kwa number 0767-906335. Karibuni Click to expand... Mimi mchana napatikana karibu na maeneo ya Ocean Road Hospital kuanzia saa 1:300 hadi saa 9:30, nahitaji lita moja, utanisaidiaje?
Mdau Makin JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 767 Reaction score 207 Jun 17, 2015 #8 Tumainiandy said: Karibuni kupata Asali Click to expand... Arusha vp? tutakupataje?