Sassa mkuu apartment imekuwa ya kulipa kodi ya mwaka tena,mnajuwa biashara mabadiliko ungekuwa una panga kwa short time kuna wageni wengi sana wanatoka nje ya nchi wanatafuta apartment ingekuwa powa sanaaa tena sanaa tu, mfano 2 month au 1 month ungepiga hela ndefu sanaaa think about that.