Habari wanajamvi. Napangisha apartment ipo gorofa ya nne ( 4th floor ). Ina vyumba vitatu kimoja ni self contained. Ukumbi na jiko. Gorofa ina lift japo bado haijafungwa maana ni mpya. Samahani sijaweka picha ila kwa aliye tayari tunaweza kutana nikampeleka ajionee mwenyewe.
Eneo: Kariakoo mtaa wa kariakoo na skukuu.
Bei: 700,000/= kwa mwezi ( negotiable ).
+255 716 808 888 kwa aliye tayari.