O Oppotunity Member Joined Sep 9, 2013 Posts 38 Reaction score 12 Mar 17, 2014 #1 habari wana jf natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mikocheni A,msasani au karibu na masaki. nyumba iwe self contained ya kawaida na bei isizidi laki nne kwa mwezi. mwenye taarifa yoyote juu ya hili naomba anijulishe tafadhali natanguliza shukrani.
habari wana jf natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mikocheni A,msasani au karibu na masaki. nyumba iwe self contained ya kawaida na bei isizidi laki nne kwa mwezi. mwenye taarifa yoyote juu ya hili naomba anijulishe tafadhali natanguliza shukrani.