Apartment for Sale – Upanga

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,139
Reaction score
366
Nyumba ya ghorofani (apartment) inauzwa Upanga, ikiwa na sifa zifuatazo:
✔ Vyumba 3 vya kulala – vyote en-suite
✔ Closed kitchen, dining & sitting area
✔ Balcony yenye mwonekano mzuri
✔ Mwanga wa kutosha na hewa safi (good ventilation)
✔ Baadhi ya maeneo ya nyumba yana sea view 🌊 na upepo mzuri wa bahari
✔ Ukubwa: 216 sqm
✔ Ipo ghorofa ya 6
✔ Jengo lina lift & generator
💰 Bei: Upon request
Kwa maelezo zaidi (bei, mchanganuo wa mapato kama ni kwa uwekezaji, picha au video),
📲 Piga au WhatsApp: 0784225000
 
Tangazo uweke hapa ila picha na video tuzifuate whatsApp. Kila la kheri Mkuu Utawapata.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…