Otto Mendez
Member
- May 1, 2017
- 50
- 13
Nahitaji lavu patina.Wanakuja wawekezaji..ila ilo jina la otto
[emoji23][emoji23] mimi nahitaji laifu patinaNahitaji lavu patina.
Poa kua lavu patina wangu niwe laifu patina wako.[emoji23][emoji23] mimi nahitaji laifu patina
Nimeshakua wako kitambo tuPoa kua lavu patina wangu niwe laifu patina wako.
Sawa sawa basi namm hesabu uwepo wanguNimeshakua wako kitambo tu
SawaSawa sawa basi namm hesabu uwepo wangu
Ni ujinga mtupuNahitaji lavu patina.
We ni mwiziSalaam zenu wana jf.Kwa kifupi nafanya biashara ya nyumba ya kulala wageni(guest house) iliyopo TEMEKE.
Nyumba yangu ya wageni ina vyumba saba (7) ambavyo kwa siku nina uwezo wa kuingiza tshs laki moja(tshs 100000) fixed kwasababu ipo uswahilini na wateja wengi sana na wateja wangu ni wa kawaida.
Kwaiyo natafuta mwekezaji,kutokana kwa nyuma ya la jengo la zamani ni nimejenga lingine lina vyumba vinane bado sijafanyia roofing na finishing nyingine na kutokana na wateja wengi kwa siku nikimaliza kote nitakuwa na uwezo wa kukusanya laki 2-3 kwa siku ni uhakika maana biashara ya siku nyingi na ina wateja wengi.
Mwekezaji anatakiwa awe na uwezo wa cash milion 38-40 kwa ajili ya uwekezaji na makubaliano yetu yatakuwa ndani ya miaka miwili(2yrs) na mgawanyo wa fifty fifty percent ndani ya miaka miwili.
Unaweza kuni pm au hapa hapa kama kuna maswali,maoni,ushauri karibuni sana.
Kukariri nayo Maradhi pia.Habari au tangazo bila picha/videoclip. Sawa n bure kabisa mdau
Uzi wa mtu mmeuharibu kabisa ungekuwa Uzi wangu hakiyanani nawashikisha adabu nawageuza kukuSawa
Miaka 2 ni siku 730x200,000 =We ni mwizi
Mil 38 miaka miwili
Kwa siku laki mbili mkigawana inaingia laki moja miaka miwili mil 24
Pesa yake inarud vipi
Mkuu hela unayo usimchoshe bure
1. hapo umekokotoa kodi ya mapato (tra), service levy (municipal), gharama za uendeshaji kama ulinzi, sabuni, umeme na maji pamoja na mshahara wa wahudumu n.k?Miaka 2 ni siku 730x200,000 =
146,000,000
"Ungekua"Uzi wa mtu mmeuharibu kabisa ungekuwa Uzi wangu hakiyanani nawashikisha adabu nawageuza kuku