Alteza nyeusi inauzwa

dtf

Senior Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
121
Reaction score
12
Jamani kwa anayehtaj alteza nyeusi inauzwa kwa bei nafuu sana.milion 6 na nusu.ni mpya na haijachakaa.atakayehitaj tuwasiliane kwa namba 0712620078
 
Weka mileage... mwaka wa kutengenezwa na picha kidogo
 
jaman kwa anayehtaj alteza nyeusi inauzwa kwa bei nafuu sana.milion 6 na nusu.ni mpya na haijachakaa.atakayehitaj tuwasiliane kwa namba 0712620078

Biashara za magari ni pamoja na maphotos, madetails ya kutuosha macho sie, ili mteja akiridhika akupigie kuja kukagua gari lako sasa mnaweka information kidogo as if hamjakusudia kuuza gari jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…