Naona malalamiko yake ni ya msingi, alichoandika ni dhahiri na amekithibitisha kwa mifano hai, sio majungu wala nini. Ndo tabu ya kufanya kazi na bepari, washapata wanachokitaka wamelala mbele.
Hongera Alpha kwa kutoa yalo moyoni kwa faida ya washiriki wengine...