programs zote za afya diploma husomwa kwa miaka mitatu, haijalishi ni form four au sixHabarini wana jamvii naomba kuuliza HV m2 alietoka form 6 kombi za sayans akahitaji kwenda kupiga kozi za afya Kama pharmacy l,clinical officer, nae atasoma miaka 3 au2 maan nimesikia sikia kua waliopita. Advance wanasoma miaka2 je nii kweli...?naombeniii msaada wenuu mdogo wetuu hukuu yupo k
Nlitaka kushangaaa mana kuna m2 anakataaprograms zote za afya diploma husomwa kwa miaka mitatu, haijalishi ni form four au six
Swali zuri sana, Nina ndugu yangu ameenda kuomba diploma ya afya akiwa na division 2 ya 11. Lakini wamemkatalia na kusema kwa ufaulu wake, hawezi kuomba diploma na wakati ameshinda SASA sijui izi Ratiba zimebadirika kwa mwaka huuu, au Ndio dogo katupiga sounds sijuiHabarini wana jamvii naomba kuuliza HV m2 alietoka form 6 kombi za sayans akahitaji kwenda kupiga kozi za afya Kama pharmacy l,clinical officer, nae atasoma miaka 3 au2 maan nimesikia sikia kua waliopita. Advance wanasoma miaka2 je nii kweli...?naombeniii msaada wenuu mdogo wetuu hukuu yupo dilemma
Yaani hapo lazima apige certificate 2yr then anamalizia diploma one yrHabarini wana jamvii naomba kuuliza HV m2 alietoka form 6 kombi za sayans akahitaji kwenda kupiga kozi za afya Kama pharmacy l,clinical officer, nae atasoma miaka 3 au2 maan nimesikia sikia kua waliopita. Advance wanasoma miaka2 je nii kweli...?naombeniii msaada wenuu mdogo wetuu hukuu yupo dilemma
Amewafunga kamba, kwanza maombi ya Diploma huwa hayahitaji cheti cha VI ila ni cheti cha IVSwali zuri sana, Nina ndugu yangu ameenda kuomba diploma ya afya akiwa na division 2 ya 11. Lakini wamemkatalia na kusema kwa ufaulu wake, hawezi kuomba diploma na wakati ameshinda SASA sijui izi Ratiba zimebadirika kwa mwaka huuu, au Ndio dogo katupiga sounds sijui
Dogo huyu ni lindanda donAmewafunga kamba, kwanza maombi ya Diploma huwa hayahitaji cheti cha VI ila ni cheti cha IV
Kamba nyingine hii. Kuomba Diploma na form iv Certificate? Au niko dunia gani?Amewafunga kamba, kwanza maombi ya Diploma huwa hayahitaji cheti cha VI ila ni cheti cha IV
Sasa wanomba na nini?Kamba nyingine hii. Kuomba Diploma na form iv Certificate? Au niko dunia gani?
form six certficateSasa wanomba na nini?
Form six certificateSasa wanomba na nini?
Sawa bro ushauri mzuri ntauzingatiaInategemeana na u 'serious' wako.. kwa kawaida kozi hizo ulizitaja hapo juu kwenye bandiko lako ni miaka mitatu, lakini ukileta mchezo na chuo unaweza kusoma kwa miaka hata mitano. Kwa bahati mbaya hata ku 'disco' kabisa.
Ushauri wa bure ukifika chuo piga kitabu mambo ya sketi, ku 'bet' ,na kampani za ovyo achana navyo.
Nabishana na chiziForm six certificate
Huyo kawapiga sound tu. Hata uwe na I ya 3, ukienda diploma hamna atakayekukataza et kisa umefaulu sana advance. Na diploma yanaangaliwa matokeo ya Form four tu.Swali zuri sana, Nina ndugu yangu ameenda kuomba diploma ya afya akiwa na division 2 ya 11. Lakini wamemkatalia na kusema kwa ufaulu wake, hawezi kuomba diploma na wakati ameshinda SASA sijui izi Ratiba zimebadirika kwa mwaka huuu, au Ndio dogo katupiga sounds sijui
Naona kuna shida sana kwa wanafunzi wa sasa hivi. Wengi wanasoma soma tu hawaelewi chochote. Mtu anafika mpaka form four hata combination hajui ni nini, yaani wanafunzi na utaratibu wa elimu hawaufahamu kabisa. Sijui tatizo lipo wapi siku hizi.Nabishana na chizi
Kuna rafiki yangu alimaliza form six alikuwa na dvn 3 ya 14 akaomba diploma ya masonic engeneering miaka 3 pale must sio form four tu hata form six wanasoma diplomaKamba nyingine hii. Kuomba Diploma na form iv Certificate? Au niko dunia gani?