Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Ab-Titchaz tafadhali wacha kuweka hizi picha zanitia uchungu, huenda niowe maishani!
Masa,
kem acha uoga weye.Kama ushayavulia nguo hebu yakoge hayo maji....:rofl:
Samtaimu katika huo umaskini wetu na hizo extended family ndipo tunapopata msimamo.Mkubwa hao jamaa akina Gore wanakila kitu walichohitaji, sasa mimi nikiweka na extended family na umasikini ndoa si itakuwa ni jehanamu!
Marriage is the most difficult institution to predict..its not always "WHAT U SEE IS WHAT YOU GET" THING!
Mlio ndani mwataka kutoka..mlio nje mwataka kuingia! KAZI KWENU... THE DECISION TO OPT IN OR OPT OUT IS URS SQUARELY BROTHER/SISTER.
LAKINI HEBU FIKIRIA HIVI: Umeoa/ umeolewa miaka kadhaa baada ya kupendana sana na mwenzio. Mmekaa miaka kadhaa ya shida, raha na kuvumiliana kwa mengi. Siku moja mnaachana....
Unakutana na mtu mwingine..mnapenda sana.. na kuona hakuna tena kama huyo uliyekutana naye! Mnaamua kuoana!..same thing happens..mnaacha........ itakuwa endless process... KIPI BORA?
!Kweli kabisa dada. Lakini kwa kweli mimi ndio maana nasema kila siku maisha ya ndoa siyawezi. I'm keeping my ass out of it. Been there done that and want none of it again.fic It's too much to go through.
Kama umeweza kuvumilia maisha ya ndoa kwa miaka 40 ni vema ungemalizia kipindi kifupi kilichobaki! Haiingii akilini kuwa tumevumiliana kipindi chote hicho halafu tuachane. Kwa faida ya nani? Kabla hujaamua kuachana fumba macho fikiria jamiii inayokuzunguka, achilia mbali watoto, wajukuu, marafiki etc. Tujaribu kushinda vishawishi na mawazo ya talaka. Hata siku moja kama utakosana na mwenzako chunga sana neno talaka. Si kitu chema hata kidogo. Siku zote tujaribu kuyamaliza matatizo yetu madogo madogo kila siku linapotokea, usije ukasema hili dogo hebu nisubiri kubwa kesho. Kila issue ndogo au kubwa ambayo unafikiri imemuumiza mwenzako neno msamaha liwe ni msamiati wa kudumu ndani ya kinywa chako.
yaani unataka mtu akae kwenye pain and discomfirt just kwa sababu tu "atizame waliomzunguka"
hakuna sababu hiyo hata kidogo, kama hujaridhika na ndoa yako...............una haki ya ku get out bila ya kujali watu wa pembeni wanafikiria nini ...............at the end of the day wewe ndio unaeteseka.