Lord! Its this bad..?!And the fanny thing?! Kuna sehumu nyingine kwenye dunia hii hii Watu wanakufa kwa Kula na kupitiliza...Na kwenye dunia hii hii kuna sehemu chakula ..kinasazwa ..na hata kutupwa...How can we bring the Justice on this matter?JF ...Hatuna special group ya kwenda kusaidia huko..? !!