bakundande jr
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 507
- 671
Hayupo vipi ndio anafaa hii game?Tatu Malogo hayupo?
Tukienda hivo hata huo mpira utachezwa na robot mezaniNi muda sasa kuwe na gunduzi za teknolojia za kusimamia mpira, hawq marefa ni watu wenye timu zao, mtu kama Gentamycine akiwa refa hawezi simamia sheria kwa uadilifu
Kwanini huna imani naeHuyu R G ga sina imani nae kabisa
Charismatica Fella anaweza akamzaba mchezaji kibao. Ni mtu wa kupanicNi muda sasa kuwe na gunduzi za teknolojia za kusimamia mpira, hawq marefa ni watu wenye timu zao, mtu kama Gentamycine akiwa refa hawezi simamia sheria kwa uadilifu
Aliwahi kufungiwa kwa kuwabeba utopolo dhidi ya azam mwaka juziKwanini huna imani nae
Makosa ni sehem yetu binadam.Aliwahi kufungiwa kwa kuwabeba utopolo dhidi ya azam mwaka juzi
Ndo mama yao (Simba) wa kuwabeba kwa mbeleko ya urefaHayupo vipi ndio anafaa hii game?
Hamna kitu hapoNdo mama yao (Simba) wa kuwabeba kwa mbeleko ya urefa
Sisi mashabiki wa simba hatuna kabisa imani na huyo Arajiga wenu. Sisi tulimtaka Tatu Malogo, au Ahmada Simba.Tatu Malogo hayupo?
Marefa wengi bongo ni wabovu lakini huyu ndiyo balaa kabisa. Tegemea vioha leo.Wakati homa ya pambano la watani wa jadi ikianza kupanda kabla ya timu hizo kuvaana Jumapili ya kesho Novemba 5.Bodi ya Ligi imetaja waamuzi watakaopewa pambano hilo litakalopigwa Uwanja wa Mkapa saa 11:00 jioni.
Ahmed Arajiga ataamua dabi hiyo kama muamuzi wa kati akiwa na wasaidizi Muhamed Mkono na Kassim Mpanga na wa akiba ni Ramdhani Kayoko huku Kamishana wa mchezo ni Hosea Lugano kutoka Lindi.
Simba itaikaribisha Yanga ikiwa ni dabi yao ya pili msimu huu wa ligi baada ya ile ya Ngao ya Jamii iliyochezwa Agosti jijini Tanga, Simba ikibeba ngao hiyo.
Nini maoni yako kuhusu waamuzi hawa?
#FutbalPlanetUpdat
View attachment 2803548
Mkuu huyu si ndio kateuliwa kuchezesha gema za world cup qualification?Marefa wengi bongo ni wabovu lakini huyu ndiyo balaa kabisa. Tegemea vioha leo.