Micro surface charger 65000Mkuu,naweza naomba bei ya charger ya microsoft surface pro 1 na bei ya kidock chake chenye usb ila kina kua na connection nyngi,
View attachment 868724
Na dock?Micro surface charger 65000
Docking station sinaMkuu,naweza naomba bei ya charger ya microsoft surface pro 1 na bei ya kidock chake chenye usb ila kina kua na connection nyngi,
View attachment 868724
Hiki ?Docking station sina
Ipo boss bei 70,000Una batery ya HP Elite book 2760p?Bei gani?View attachment 868737
ngoja nipite hapo kesho au leo jioniIpo boss bei 70,000
Samahani mkuu kwa kukuchosha,hii mini displag to hdmi yako,hapo nlipozungushia 7b pic ina u blur sioni vizuri,Hiyo inaitwa min display to hdmi/vga nauza 40,000
Nitumie Picha ya port ya hiyo micro surface inawezekana inatumia USB cSamahani mkuu kwa kukuchosha,hii mini displag to hdmi yako,hapo nlipozungushia 7b pic ina u blur sioni vizuri,
Meno yake ni km usb za kawaida au km hdmi port?View attachment 868742
Port yake ni ya usb ya kawaida yaani tundu kama la kuchomekea flash,na ina mini display port.Nitumie Picha ya port ya hiyo micro surface inawezekana inatumia USB c