Dalali wa kimataifa
Member
- Apr 10, 2025
- 40
- 44
Wapo kuna wadada wana hela humu 😂Humu unapoteza muda hakuna wa kupanga hizo apartments..au nadanganya last born Half american ?😂😂😂
Wakishiba mihogo na miguu ya kuku wana kelele sanaWapo kuna wadada wana hela humu 😂
😂 inatosha dada mkuu acha tangazo liende dola afu moja si mchezo.Wakishiba mihogo na miguu ya kuku wana kelele sana
Mbona tupo😎Humu unapoteza muda hakuna wa kupanga hizo apartments..au nadanganya last born Half american ?😂😂😂
We vince ukijitahijidi sana utapanga nyumba ya dolla 200....kwanza kigamboni hakuna apartment hata za dollar 500🤣🤣🤣Mbona tupo😎
Mbona bado inafanyika hivyo sehemu nyingi tu, walibadili upepo baada ya katazo ila baada ya siku chache mbeleni kama kawaida mambo yamerudi kule kule.Mmekatazwa kutoza dollar transaction za ndani ya nchi au ubishi tu
Ndio maana nimeona nilisogeze tangazo maana hapa watu wangefanya hawajaona wamezoea vyumba vya giza....kwanza we wa kishua unavijua vyumba vya giza?😂 inatosha dada mkuu acha tangazo liende dola afu moja si mchezo.
Afrika mithan sanaMbona bado inafanyika hivyo sehemu nyingi tu, walibadili upepo baada ya katazo ila baada ya siku chache mbeleni kama kawaida mambo yamerudi kule kule.
Sana mkuu ndio mifumo yetuAfrika mithan sana
Ndio nilipolala hadi saivi sijui kama jua limeshachomozaNdio maana nimeona nilisogeze tangazo maana hapa watu wangefanya hawajaona wamezoea vyumba vya giza....kwanza we wa kishua unavijua vyumba vya giza?
🤣🤣🤣🤣🤣Nimeamini we wqkishua....ulivyosikia chumba cha giza ukajua kina gizaaa hadi hujua jua kama limechomoza ?NO nooo sio hivyo chumba cha giza means ni chumba kisicho na umeme dogoNdio nilipolala hadi saivi sijui kama jua limeshachomoza
Ndio changu hicho 😂🤣🤣🤣🤣🤣Nimeamini we wqkishua....ulivyosikia chumba cha giza ukajua kina gizaaa hadi hujua jua kama limechomoza ?NO nooo sio hivyo chumba cha giza means ni chumba kisicho na umeme dogo