2016 Prado for sale

............MACHO haya bwana ....nilidhani yale ya size yangu !
....siku zingine muwe munaandika vichwa vya habari vizuri mfano ''' maprado ya bei juu yanauzwa'''...
 
Mkuu pia hembu weka Bei in Tsh,maana kama hiyo number G,black nikwamba imeishatumika hapa Zanzibar.
Angalau ungesema in USD hiyo white,licha ya kwamba na yenyewe inaweza kuwa tu imetolewa number.
Na ili upate wateja,jaribu kuweka na everage ya gharama mpaka kufikisha Dar,maana hapo ndio kimbembe,sijui kama sio 40m pamoja na Kodi zote
 
Ok Ahsante sana kwa kutumia uhuru wako wa kikatiba kutoa maoni.
 
Daaah, mkuu hiyo Prado ya Pearl imenitoa udenda... Yani ningekuwa na hela, ningepanda ndege za mapangaboi sasa hivi nitue Zbar kuja kuinyakua kama tai... May the best man win that car.... its really nice...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…