Zamaulid we kiboko. hii bei yako labda gari ingekua haijalipiwa ushuru. yaani ndio angepata hata kahela kidogo kausumbufu.kwa nini unaiuza!chukua 4 na mm nimiliki gari!
Zamaulid we kiboko. hii bei yako labda gari ingekua haijalipiwa ushuru. yaani ndio angepata hata kahela kidogo kausumbufu.
lakini kama gari imelipiwa ushuru kwahiyo bei labda Bajaji haki ya Mungu.
Kama utachukua 5.9 hata kesho njoo nitachukua gari.
Pretty 6.85 final price
zurri miss neddy mwambie Excel afanye mpango