2004 Toyota Wish 63,300 km Pearl White Automatic Transmission 1790 cc 7 Seats (Family Car) All Duties Paid + Registration & Insurance PRICE: 12.7 M or Best Offer
Hamna kaka mi sina hiyo pesa kwa sasa ila kuna mshkaji wangu alikua anahitaji gari. Vipi commission ipo kama nikikuletea kichwa? Mkuu mathematics hiyo ndo hali halisi kaka.