2001 TOYOTA HARRIER inauzwa... :)

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
784
Reaction score
327
Habari ndugu,

Toyota Harrier model ya 2001 iko sokoni kwa wenye uhitaji. Maelezo ya gari yako chini.

Gari iko katika hatua za mwisho kutoka bandarini. (Biashara itafanyika gari ikiwa ishatoka bandarini).

Details;
Engine size: 2400cc (VVTi), 4 Cylinders
Transmission: Auto
Mileage: 50,000km
YOM: 2001
Never used locally

[FONT=lucida grande, tahoma, verdana, arial, sans-serif]Beautiful interior with no outside scratches[/FONT]

Price: 22mil
(Price is inclusive of duties & registration)
​



:smiling:
 
Wee Ngedele una uzoefu wa kutoa magari bandarini?
 
Ndio lakini kwa kupitia wakala wa clearing
 
Nimeikubali ni 4 cylinder kidogo iko economy
Mkuu ngendele utapata mjeta
 
Gari ishatoka bandarini.. wale waliokwisha nicheki tunaweza ongea biashara sasa kama bado mnahitaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…