Offer Cherehani ya Umeme
Name Ufesa
Made in Spain
Model Maquina De Coser
Modeli hii kwa Kifaransa tunaita Acquina de Costurar
Sws 3003 Performance
1.Inashano
2.Inadarizi
3.Inapiga zigizaga
4.Inaoverolock
Zaidi ya mitindo ya ushonaji wa nguo 30
Ni mpya hazijatumika
Bei ni 320,000/- tu...