ugonjwa wa pid

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ugonjwa wa PID

    💡 PID ni nini? PID ni kifupi cha Pelvic Inflammatory Disease — yaani Ugonjwa wa Maambukizi katika Pelvic (kiuno/mfuko wa uzazi wa ndani wa mwanamke). Hii ni hali ya kuvimba au kuambukizwa kwa via vya uzazi vya ndani kama vile: Mji wa mimba (uterasi), Mirija ya uzazi (fallopian tubes), Ovari...
  2. Je, PID inatibiwa na Azuma?

    Wakuu katika hali ya kushangaa! Mwanamke karudi na Azuma za siku tatu na anti pain kama matibabu ya PID?? Sasa nilichoshangaa kweli PID itibiwe na Azuma ya siku tatu. Nielewavyo mimi PID ni ugonjwa unaotokana na complication ya UTI kwa maana hiyo hata matibabu yake ni ya kirahisi Dozi huenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…