Habari zenu members wa Jf,
Kuna shida inatanitatiza kwa mtoto wangu wa kike mwenye umri wa miaka mitatu, ni kwamba amekuwa na kawaida ya kutokwa na maji meupe kama maziwa sehemu zake za siri kila baada ya muda flani, nimejaribu kumpeleka hospital mbalimbali naambiwa U.T.I anapewa dawa na muda...