SHAMBA LINAUZWA KIBAMBA
📍 KIBAMBA SHULE – TORINO
📐 UKUBWA: HEKARI 1.6
Shamba lina sehemu yenye unyevunyevu, na linaweza kutumika kwa shughuli mbalimbali kulingana na mpango wa mwekezaji:
-Kilimo cha mboga mboga
-Ujenzi wa nyumba na makazi
-Ufugaji
-Uwekezaji wa muda mrefu
Pia unaweza...