Wanandugu KIWANJA KIPO SOKONI
(40 urefu kwa 22upana)
Sifa ya kiwanja
1. Kipo sehemu nzuri, karibu na Barabara ya mtaa ya gari na pikipiki
2. Hakipo mbali na Barabara kuu ya lami yaani itokayo huko BUNJU KWENDA HUKO MWENGE NA MAKUMBUSHO utaona mwenyew ukiwa eneo la tukio au tazama picha chini...