NYUMBA INAUZWA – MBEZI MAKABE (KWA PAULO)
Fursa ya kipekee ya kumiliki nyumba kubwa katika eneo zuri na lenye miundombinu bora.
Sifa za nyumba:
✅ Vyumba 4 vya kulala
✅ Master Bedroom 1
✅ Vyumba 3 vya kawaida
✅ Sebule na Dining
✅ Jiko kubwa
✅ Public Toilet
✅ Store Room
Maelezo ya Kiwanja:
📐...