Aina nyingi za ngiri ama hernia zinatokea eneo la tumbo kati ya kifua na nyonga. Kwa watu wengi ngiri siyo tatizo linalohatarisha maisha japo ni tatizo lisiloisha lenyewe bila upasuaji ama dawa.
Ngiri inasababishwa na kulegea kwa misuli na kupelekea nyama za kiungo kimoja kuota na kusukuma...