Habari za majukum wanajamvi,
Nielekee moja kwa moja kwenye mada, nimekua napatwa na maumivu makali sana ya kiuno na kwenye mishipa inayoenda kwenye korodani.
Hali hii inatokea zaidi haswa baada ya tendo la ndoa. Kwa wenye ujuzi naombeni msaada wenu au kama kuna daktari mahsusi kwa kina baba...