🌳 FAHAMU KUHUSU MATOGHO 🌳
👉Matogho ni matunda yenye thamani kubwa sanaa kiafya na kiutamaduni.
👉Kwa kiingereza huitwa Goron Tula au snot apple, Kisayansi huitwa- Azanza garckeana .
Pia hujulikana kama- African chewing gum fruit
Ucheku / Tula kola (Nigeria)
Faida Zake Kuu:
⚡1. Afya ya Uzazi...