Trekta za TAFE zimejizolea umaarufu kutokana na uimara wake, pamoja na uwezo wa kuhimili mazingira halisi ya kitanzania. Karibu ujipatie Trekta yako leo kutoka kampuni ya MeTL Agro, wasambazaji walioidhinishwa wa Trekta za TAFE pamoja na vipuri vyake.
Model zinazopatikana ni pamoja na:
1. 47...