Habar wakuu wapi ntapata daktari bingwa wa magonjwa ya kina mama kwa Dar iwe private au Serikali
Mke wangu anatatizo tangu wakat wa mimba yamtoto wetu wa tatu,alikua anapata maumivu ya tumbo usawa wa kitovu nakinena pemben na juu kidogo,anapata maumivu makalii mithili yakuhisi kama Kuna kitu...