Wizara ya Afya imetoa maelekezo ya njia bora ya kutibu jino lililotoboka/kuoza badala ya kukimbilia kuling'oa.
Jambo linalowafanya watu wengi wakimbilie kung'oa jino ni maumivu makali waliyoyapata kutoka kwenye jino lililooza au kutoboka.
Zipo njia mbalimbali zitakazokusaidia kufanya jino lako...