Je, wewe ni mmiliki wa gari binafsi, bodaboda, bajaji, au una biashara yenye magari mengi? Tracking ya magari sio anasa tena – ni haja!
🔑 Kwa Mmiliki Binafsi:
Jua chombo chako kiko wapi 24/7. Hakikisha usalama wa familia na mali yako kwa kufuatilia mienendo ya gari lako.
🚚 Kwa Mwenye Biashara...