HLS ( HOTEL LOCKING SYSTEM).
Hii ni system inayotumika katika vyumba vya hoteli na lodge.
Ni maalum kwa ajili ya milango inayofunguka Kwa kadi.
System hii inakupa option ya ku-create kadi ya kufungua Mlango iweze kutumika ktk muda ambao mteja amelipia chumba, mfano mteja kalipia chumba siku...