READ NEXT
PID Kwa Mama Mjamzito.
Fangasi ukeni (vaginal yeast infection) husababishwa na kuongezeka kupita kiasi kwa fangasi aitwaye Candida albicans. Fangasi hawa kwa kawaida huishi ukeni bila kusababisha madhara (normal flora), lakini wanapoongezeka kupita kiasi, huleta maambukizi. Hali hii...