Je, unatafuta mtaalam wa kuandaa Business/ Company profile mwenye uzoefu na ujuzi wa kuunda maelezo ya kuvutia na yenye ufanisi? mimi ndiye mtaalamu unayemhitaji.
Ninaweza kukusaidia kuunda...
King'amuzi cha Canal Plus kinakuwezesha kuangalia News, Movies na Sports kwa Bei nafuu sana kulinganisha na ving'amuzi vingine. Kwa wapenzi wa Soccer (Football) ukiwa na King'amuzi hiki utaweza...
📺 Una King'amuzi cha CANAL+ na hujui wapi pa kulipia?
Usiwe na wasiwasi! ONE TECH tupo kwa ajili yako 💪
Tunatoa huduma zote zinazohusiana na CANAL+ ikiwemo:
✅ Kuuza dekoda mpya
✅ Kulipia...
Bei/Price🏷️👉🏽TSH 109M
Call📞+255 747 999 927
TOYOTA LAND CRUISER PRADO TX
Year: 2021
Low Mileage
Engine: 2TR-FE
Fuel Used: PETROL
Transmission: AUTO
✨Crawl Control
✨Push To Start
✨Adaptive...
Plot Available For Sale.
Location: Kigamboni Kimbiji, Bohari road, Majipoa area.
Descriptions:
*41km from Kigamboni Ferry, 3km inside from Kimbiji road.
*It's 18.3 acre's which is equal to...
Una HARUSI, SEND-OFF, GRADUATION, KOMUNIO, KIPAIMARA, VIKAO, MICHANGO? Wasiliana nasi tukupatie kadi nzuri ya kidigitali itakayokuwa rahisi kusambaza kwa wageni wako wote na ya kipekee sana...
Mimi sijui kirefu cha Ngome J&U ila najua ni vituo vya kuuza mafuta ya Petroli kwa vyombo vya moto (Petrol stations) vinavyopatikana kwenye maeneo/kambi ya jeshi la wananchi JWTZ yanayotazamana na...
📌 Apple Pencil 2 Gen –
Inafaa kwa iPad Pro
📌 iPad zinazounga mkono Apple Pencil 2:
• iPad mini (6th generation)
• iPad Air (4th gen & 5th gen)
• iPad Pro 11-inchi (1st, 2nd, 3rd, 4th gen)
• iPad...
Fanya ofisi yako kuwa ya kisasa inayokwenda na wakati, tumia huduma ya bulk sms kuwafikia watu wengi zaidi na kwa haraka.
Kwetu sisi mfumo tunakupatia bure ukiwa na msg kadhaa za kujaribu...
Salaam ndugu zangu, kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.
Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri...
Kumekuwa na mjadala watu wa magari hupenda kuuzungumzia kuhusu iwapo mtu ana hitaji la kununua spare, je ni bora kwenda dukani kununua mpya kwenye box, ama ni bora ukanunua used iliyofunguliwa...
Wakuu salaam!
Kwa yeyote mwenye home theater mbovu, iliyoungu haiwaki, hauna kabisa mpango wakuilekebisha, hata Kama imeshatolewa circuit zake za ndani, yaani kifupi bovu bovu tu ninahitaji...
Nauza iPhone 12 Plain 128GB. Simu haina mchubuko wala mkwaruzo.
Network: 5G
Waterproof: Ina kiwango cha IP68 (dust na water resistance). Hailingizi maji, unaweza hata kupiga video call ukiwa...
Kiwanja kinauzwa kigamboni kibada kimepimwakina square meter 700 bei milioni 35 kiwanja kipo kibada karibu na tawi la crdb bank block 5 kwa mawasiano simu 0659962452