Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Good morning ladies and gents, Wadau nilipata majanga ya kuibiwa TV, Friji na jiko siku kadhaa nyuma. Mimi ni mwajiriwa na kamshahara sio haba ila nikisema ninunue vitu vyote inakuwa ngumu, wapi...
7 Reactions
44 Replies
1K Views
Wasiliana nasi leo Kwa WhatsApp no 0656965704 Tukusaidie kuipa Biashara Yako Maisha. Huduma Zetu ni: Logo design Poster design Flyers design Kadi za mialiko na Harusi Business card design Banners...
0 Reactions
0 Replies
614 Views
📢 Kwa Nini Ubunifu Bora Ni Muhimu kwa Biashara Yako? Ubunifu mzuri si anasa—ni silaha ya mafanikio kwa biashara yako! 🎯 ✅ Unakutofautisha na washindani ✅ Inavutia wateja zaidi ✅ Inajenga uaminifu...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
Habari wanaJamiiForums, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosomeka,nahitaji chumba single self. Bajeti yangu ni 50k hadi 120k. Ikipatikana haya maeneo itakuwa vizuri zaidi: Town/mjini, rau, kcmc hadi kule ushirika wa...
2 Reactions
4 Replies
451 Views
Design and build Mapwepande now we are working on landscape Kupata huduma zetu +255624004650
1 Reactions
1 Replies
359 Views
AIRBNB DESIGN VILLA CONTAIN 24 UNITS (EACH LOUNGE + BEDROOM)
1 Reactions
0 Replies
210 Views
FUMIGATION ina jumuisha mambo mawili 1.Kunyunyiza 2.kufukiza Watu wengi wamewahi kuona FUMIGATION ya kunyunyiza ila hawajui kuhusu FUMIGATION ya kufukiza,,, Hii inasababishwa na ukosefu wa...
1 Reactions
6 Replies
620 Views
5BEDROOMS +255624004650
2 Reactions
2 Replies
324 Views
Noah inauzwa 9m. Ipo Mbeya mjini. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050.. Nyote mnakaribishwa!
1 Reactions
1 Replies
360 Views
Mgodi unauzwa Chunya eka 70. Bei ni pale mnunuzi/ muwekezaji watakapo kubaliana. Wasiliana nasi +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
0 Reactions
4 Replies
464 Views
Kituo cha mafuta kinauzwa Mbeys mjini. Kiwanja kina ukubwa wq sq 3000. Bei ni maelewano ya kati ya mnunuzi na muuzaji. Wasiliana nasi. +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!!
0 Reactions
2 Replies
364 Views
Nyumba inauzwa Mbeya mjini tshs 130m. Mazungumzo yapo. Ina vyumba 3 vya kulala,sebule,chumba cha chakula na jiko. Wasiliana nasi+255761972755,+25561246050. Nyote mnakaribishwa!
0 Reactions
0 Replies
295 Views
Godown linapangishwa Mbeya mjini sq 750. Tshs 4m mazungumzo yapo. Lipo eneo la viwanda, Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Jengo kwa ajili ya matumizi ya ofisi linapangishwa Mbeya mjini. Ni jengo zuri na la kisasa. Kodi laki 7 kwa mwezi mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
0 Reactions
0 Replies
336 Views
Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi...
1 Reactions
0 Replies
257 Views
Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea.Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi...
1 Reactions
0 Replies
247 Views
Nauza viwanja vipo 4 vipo kigamboni njia ya kuingia Fun city nyuma ya kituo cha Njano kila kimoja kina sqm 500 kila kiwanja kinaanzia Tshs,28ML kama upo intrested njoo tuyajenge piga hii no 0743921019
0 Reactions
6 Replies
471 Views
Hotel cottage investiment idea Wale wenye viwanja nje kdgo ya mji ukiweka hizi ukapiga bustani na miti lazima uuze 150usd daily kila unit Karibu sisi tunahusika na design + ujenzi +255624004650...
1 Reactions
4 Replies
425 Views
Naitaji kioo used cha Samsung s24 ultra, mwenye nacho anicheki 0678216844 tufanye biashara
2 Reactions
6 Replies
702 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…