Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza suzuki swift, bei ni 4.8 million. Niko Kibaha maili moja, piga 0713 039 875.
3 Reactions
1 Replies
337 Views
As of now, there are CEOs of the companies who have not yet filed their income tax returns for the year 2024. VERY INTERESTING… The company is going through the financial crisis still you’re...
0 Reactions
0 Replies
500 Views
Nauza vifungashio au mifuko laini Ile ya kuingia kilo moja Hadi kilo mbili ni mizuri mipana na haivuji wala kuachia chini pindi unapobeba bidhaa...njoo nikuuzie kwa mia9 kila pisi wewe uuze 1300...
0 Reactions
2 Replies
287 Views
Trumark Stationery & Books ni wakala wa vitabu vyote vya shule vya mtaala mpya. Ukinunua vitabu kwa wakala una uwezo mkubwa wa kupata punguzo la bei. Vitabu kuanzia shule ya awali, msingi na...
1 Reactions
12 Replies
937 Views
maboss zangu wale wenye pub,grosar, cafe, migahawa ya chakula.. nipeni oda niwatengenezee viti imara na vyenye muonekano mzur sana.. Nipo dar mbagala ila ad mikoani tunaenda kufanya kaz. Karibu...
0 Reactions
2 Replies
302 Views
Toyota Rumion Engine capacity: 1790 Cc Color : Black New tyre Android tv Full Ac Year of manufacture 2006 Dodoma Whatsap : 0762848532 Bei Ml. 15.8
0 Reactions
0 Replies
255 Views
UJASUSI, UPELELEZI NA MAPIGANO 1. ULIMWENGU WA WATU WABAYA...4000 2. I WANT TO DIE JUDGE...4000 3. GEREZA LA HAZWA...5000 4. INNOCENT KILLER (THE REVENGE)/ MUUAJI ASIYE NA HATIA (KISASI)...5000...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza kiwanja changu, Namba 30 kipo jirani na hospitali ya wilaya, eneo la Lulanzi ,kata ya Picha ya ndege, Manispaa ya Kibaha. Hospitali kilometa moja kulia na shule ya pyramid English medium...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
maboss zangu wale wenye pub,grosar, cafe, migahawa ya chakula.. nipeni oda niwatengenezee viti imara na vyenye muonekano mzur sana.. Nipo dar mbagala ila ad mikoani tunaenda kufanya kaz. Karibu...
0 Reactions
0 Replies
225 Views
Wasaalam, Kama somo tajwa hapo juu. Yeyote anayetaka saruji (cement) ya twiga kwa bei ya jumla. Kiwango cha chini ni tani 10 au mifuko 200 kwa dar. Mikoani ni kuanzia tani 25 au mifuko 500...
4 Reactions
54 Replies
31K Views
Wasiliana nasi ili upate huduma saidizi za kuanzisha biashara ambazo zinahusisha Masuala yote ya msingi kwa ajili ya kuanzisha kampuni ikiwamo: Kusajili Biashara yako BRELA, TRA, LESENI, na...
1 Reactions
6 Replies
402 Views
Wakuu nina maharage ya njano gunia ishirini ziko bunju DSM. Nauza kwa mtu ambaye anaweza kuchukua gunia nyingi. Bei 2700. Zipo gunia 20, yani tani 2.
3 Reactions
4 Replies
386 Views
HP spectre x360 convertible laptop • Intel Core i7 Processor 11th generation • 500GB Solid State Drive • 16GB on-board SDRAM • Intel Iris Xe graphics • Colour: Black and Gold • Battery lifespan: 9...
0 Reactions
2 Replies
428 Views
Karibuni Sana 1. Utafiti wa maji chini ya ardhi (Underground water prospecting) 2. Uchimbaji na ujenzi wa visima vya maji (Borehole / water well drilling and Constructions) 3. Upimaji kiasi cha...
0 Reactions
12 Replies
739 Views
Habari za Jumamosi Wakuu,nna biashara wakubwa zangu nauza,biashara hizo ni pamoja na (1)Samick 12 Channel Mixing Console Model no SM-1200p hii naitakia 500,000. (2)Jebson SD 1 Table top Mixer hii...
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Wakazi na wenyeji wa mji wa Lindi.. Kiwanja cha kujenga nyumba ya makazi kinahitajika.. Kama unacho au kuna mtu unayemjua anacho na anauza basi unakaribishwa mtu wa nguvu.!!
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Ofa ya kadi za harusi, send-off, michango, graduation, komunio, na mialiko mingine mbali mbali. Utapata ofa hii kuanzia leo hadi mwezi wa nane tarehe 29, gharama ya kawaida ni Tsh 1500 kwa kadi...
0 Reactions
10 Replies
715 Views
Karibuni Sana wells technology wachimbaji wa visima vya maji safi na salama borehole gharama za uchimbaji kisima ni kwa mita Dar es salaam na pwani mita moja 90,000 Mikoani mita moja 140000...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
DESIGN YA VYUMBA 4 , 1. LOUNGE 2.DINNING & KITCHEN 3.2BEDROOMS SELF 4.1BEDROOM SINGLE NEAR PUBLIC BATHROOM 5.MASTER BEDROOM WITH CLOSET AND SPECIOUS BATHROOM 6.BARAZA 2, COST MPAKA KUPAUA NA...
0 Reactions
12 Replies
588 Views
ARGENT ‎My name is Joshua James, a professional driver and an agent for job seekers, as well as a specialist in community-related matters. ‎ ‎If you are looking for workers within Dar es Salaam...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…