Nilitamani sana nione miujiza ya Mafuta ya upako na udongo wa upako miujiza ya uokoaji na uponyaji pale Kkoo. Kadhalika na wale masharifu feki na wazee wanaodai wanamvuta mpenzi alioko mbali...
Wakuu pole na majukumu ya ujenzi wa Taifa, nimerudi tena hapa jukwani Kwa utafuti niliofanya Leo ni kwamba haya ni madini ya Garnet nyekundu na nimedhibitisha hilo Kwa kulinganisha mara kadhaa...
Wakuu,
Wote tunajua kuwa Uchaguzi umekaribia na CCM kama kawaida wataanza kufanya vituko ili kupata huruma za wananchi.
Kuelekea Oktoba Makada wa CCM wataanza kuosha vyombo, kuruka sarakasi...
Hivi, huo ujinga wa kuandika kila pahali hata ndani ya mbuga ya Nyumbu, Simba, Swala na Digidigi aliutoa wapi Nchemba?!
Nchi yangu!
Picha hapo juu ni Duma wakisikiliza Mkutano wa kampeni za...