Nyie si mnasema Jamii Forums kuna watu wanapiga spana, sasa nimewasogezea spana kutoka kule twitani. Aiseeee ni hatari!
Wa kuitwa Madenge kayakanyaga, kavamia mtumbwi wa vibengwo...
Mzuka wanajamvi!
Mara ya kwanza kuona hii picha nilidhani Bahi, Kongwa huko kumbe ni Belarus Ulaya ya Lukashenko mshirka wa Putin. Yani hapana tofauti na Bukombe na Nyarugusu kwa kina mwamba. imhotep
Huyu mama anakimbia kuliko difenda ya polisi inayoenda kwenye kikao cha CHADEMA kisichokuwa na kibali, Km 300,000 kwa sekunde.πππ π π
Wahenga wanamjua vizuri.
Nikiwa bado niko huku Ruangwa, masela wangu wametoa kitu safi. Mambo haya kama wewe ni brazamen huyawezi!
Wengine sisi tunaishi kokote.
MamaSamia2025
Bushmamy
Ova
Jamani naamini ile semina elekezi za Engurudoto zilikuwa na umuhimu wake.
Mtazameni huyo Chalamila utayaamini maneno yangu.
"Haya ndiyo mambo ya Kagera, hiki ndiyo kichwa cha sangara. Kama...