Ndio kwanzaa naiona leo mtandaoni. Ladha yake ikoje,kama coca,pepsi,mirinda nyeusi ama?
Tuleteeni basi na sie wa mikoani.
#tusichekanekuulizasioujinga#
Kama mnavyojua team ya taifa ya soccer upande wa wanawake ilifuzu kushiriki kombe la dunia linaloendelea sasa huko India ila star wa team Clara Luvanga haonekani. Sasa habari ambazo...
Ni matumaini yangu uko salama na mzima wa afya na kama sio mzima wa afya basi Mungu wangu akulinde na akujulie afya njema [emoji120][emoji120].
Leo piaa Ndugu zangu nimependa kushare picha za...
Nyie si mnasema Jamii Forums kuna watu wanapiga spana, sasa nimewasogezea spana kutoka kule twitani. Aiseeee ni hatari!
Wa kuitwa Madenge kayakanyaga, kavamia mtumbwi wa vibengwo...