ni kijana wa miaka 21 nasumbuliwa na chunusi flani kama vijipu uchungu kwa sabu vinatoa usaha na damu mwshoni pleaz wakubwa naombeni msada nfanyeje?hasa maeneo ya puani na chni ya mdomo au kidevuni
Baada ya kufanya ngono isiyo salama kwa miezi takribani isiyopungua sita huko nyuma, mwili ulianza kutokuwa katika hali yake ya kawaida, nimekuwa na homa za mara kwa mara miezi yote hyo, kichwa...
Heshima kwenu wakuu..
Ndugu zangu kuna Dada yangu juzi ameenda hospitali kufanya vipimo, baada ya vipimo amegundulika kuwa ana Uvimbe katika ovari kwani alianza kudai kuwa anasikia maumivu upande...
Habari zenu!
Nna ujauzito wa miez 6 sasa, je ni dawa gan ambayo naweza kutumia ili niweze pata mtoto mwenye ufaham mzuri?
Gata akiwa class awe dizaini za wale watu mwalimu akifundisha awe...
To this date, only one person is thought to have been cured of HIV - the "Berlin patient" Timothy Ray Brown. But no one is exactly sure which aspect of Brown's treatment may have cured him...
Na Mwandishi Wetu
Imeelezwa kuwa watu wanaotumia redio za simu wako hatarini kupatwa na ugonjwa wa saratani ya sikio na kichwa kutokana na mionzi mikali itokanayo na viselula hivyo.
Akizungumza na...
Habari wanajf.
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 26,sijawahi kupatwa na tatizo lolote kuhusu nywele,ila tangu juzi nimeshangaa kuona nywele zangu zikipukutika kichwani.Yaani nikizishika tu zinatoka...
Hapa naugulia jino hadi ufizi umevimba.. Naomba kwa hakika kujua asili/chanzo halisi ya/cha kuugua/kuoza meno na kama kuna dawa ya kutibu (sio kutuliza) au lazima kung'oa.. Nisaidieni wenye...
Tatizo la kifua kwa muda mrefu linaweza kutibika?wataalam naomba msaada maana kuna mtu anasumbuliwa na kifua
toka alipofanyiwa operation ya jicho hadi sasa n miaka 3 kifua kimekuwa...
Hi wana JF mimi ni mvulana nina vichunusi lakini sio sana hali iliyopelekea nipate madoa meusi na uso wangu kupoteza hali ya usoft.Nataka niwe soft kama mtoto.
Nisaidie jamani nifanye nini ili...
Habari wana jf,
nina mwanangu alizaliwa sept 2, amekuwa akionyesha hali ya kama anaumwa tumbo kwa kulia lia na wakati mwingine ananyonya halafu anaanza kulia. Wengine wanasema maziwa ya mama yake...
I am not sure how true this is, but we have sisters, brothers, relatives, neighbours etc... etc... suffering from this deadly disease. Please give a try. HOW I GOT CURED HIV AND SKIN CANCER: HOW...
Habari,
Naomba msaada wenu katika hili, kila nikitaka kubadilisha mafuta ya kupaka usoni natokewa na harara nimeuliza kwa baadhi ya watu wananambia ni kawaida eti ngozi ikishazoea hayo mafuta...
Habari wa jf naomben tumshauri huyu mtu.Ni kijana mwenye umri wa miaka 20 ana tatzo la ngozi ya uson kujkunja kama mzee amejarbu dawa mbalmbal bla mafankio mwenye kujua
chanzo cha tatzo na tiba...
Naomba kujua ni mafuta gani mazuri kwa ngozi yangu, ngozi yangu siyo kavu na wala haina mafuta mengi. Kwa sasa napaka Nivea Dry Skin, lakini haifanyi ngozi yangu kuwa soft (muonekano mzuri)...