Habari wadau.
Hili tatizo ni kama nimetokanalo mbali, tangu nikiwa mtoto hali hii nilikua nayo.
Naomba kujua kama kuna dawa au ni tumbo langu halikubaliani na hali fulani?
Polen na majukumu ya kila siku, kiukweli wpendwa kuna kitu kinanisumbua kwenye mwili wangu mpka sasa cjapata jibu kamili ila kwa sababu humu kuna madoctor naomba mnisaidie kisha nichukue hatua...
Nina miaka 35 nilianza mahusiano nilipimaliza kidato cha NNE,Nina mume na ninampenda, kabla sijaolew nimewahi Kuwa na mahusiano na wanaume watatu , Ila nafanya tendo LA ndoa kama kutimiza...
Hellow wanajamii,naomba mnisaidie hili swali...Describe in detail what happens following concomitant administration of penicillin and probenacid both in pharmacokinetic profile and as well as...
Hi jf members,
Mtoto wangu ana mwezi 1 na wiki 2, usiku huwa anajisokota na kuanza kulia badae anatapika, hili limemtokea mara kwa mara, lakini usiku amesumbua sana kwa hali hiyo hadi...
Jamani naomba mnisaidie kuna ndugu yangu anasumbuliwa sana na joint za kiunoni, pamoja na mgongo hadi anashidwa kutembea ameshapima kila aina ya vipimo include HIV...
idadi kubwa ya Watanzania hawana ufahamu wa kutosha juu ya matatizo ya figo. Uelewa huo mdogo kwa umma kuhusu ukali wa matatizo hayo umesababisha watu wengi kutojua jinsi magonjwa hayo...
Ni kawaida kutokea mtoto mchanga akakataa kunyonya maziwa ya mama, badala yake akapewa maziwa ya ng'ombe, mbuzi au maziwa yatokanayo na soya. Hali hii hutokea pale mtoto anaponyonya maziwa ya mama...
je kuna madhara yeyote au uhatarishi ukitoa mimba yenye mwezi mmoja..na je mimba inakua hatari zaidi kutolewa inapokua na miezi mingapi.
nahitaji kufahamishwa tafadhali
Middle aged women, who regularly partake in some form of exercise each day, are significantly reducing their chances of getting cancer.
London: Everybody is aware of the fact that exercise is...
Kitendo cha kulia na kutoa machozi ni kitu kinachokubalika na tamaduni zote duniani. Unapocheka au kulia mwili huweza kupitia mabadiliko ya kikemia na kifikia pia kutoa machozi au kucheka vyote...
Wanabodi
Nimekuwa nikisumbuliwa na maamivu ya tumbo, linawaka moto kwa upande wa juu karibu na kifua, nimeenda hsptl ya muhimbili nikafanya kipimo cha endoscopy, nikagundulika na ugonjwa wa GERD...
Mama yake kajifungua kwa operation na kufariki Dunia,alikuwa dada yangu ,kwa sasa kanatumia maziwa ya unga Lactogen 1.Naomba jamani kama kuna mbinu zaidi za kitaalamu zenye kuniwezesha kumkuza...
Nimeisikia hii kutoka kwa dokta mmoja wa mwanza (huenda msukuma) kwenye kipindi cha startv saa 4 usiku tar 11/02/2013, nijuzeni kama ni kweli ati mifupa ya dagaa inachomachoma kwenye utumbo na...
je kuna dawa ya kusaidia kukuza cognition level kwa ajiri ya watoto wanaopata taabu shuleni?, na je kuna madhara yoyote kutumia dawa hizo na kama yapo nini mnashauri,na kama kuna aliyetumia mtoto...