Sisi Wakongwe tunajua mtu wa kumnyamazisha Tundu Lissu kwa Hoja ni Mzee Wassira, yule Tyson anaijua sana Historia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,000
143,692
Ukitaka Tundu Lissu akae na awe Mpole basi mlete nguli wa sheria Mzee wetu Wassira.

Wote Wamarekani hawa

Nitajaribu kumtafuta pale Maktaba kwake aje atufungie huu Mjadala wa Muungano

Kaa Chonjo 😄
 
Ukitaka Tundu Lisu akae na awe Mpole basi mlete nguli wa sheria Mzee wetu Wassira

Wote Wamarekani hawa

Nitajaribu kumtafuta pale Maktaba kwake aje atufungie huu Mjadala wa Muungano

Kaa Chonjo 😄
Ccm ni wajinga sana, (hufanya wananchi kama mbumbumbu), kiongozi mkubwa wa chama anasimama anasema ccm, samia katoa bilioni 600! Kama pesa ya mikopo kwa wanafunzi, au, kaweka Sera ya elimu bila kulipa(hakuna elimu ya bure, some one has to pay for it) kuanzia la kwanza mpaka kidato cha Sita! Sasa mlitaka serikali ifanye nini ipereke mavi kwa wananchi, hayo yote ni majukumu ya serikali, hakuna cha upekee, serikali siyo bskheresa, au dangote kwamba inatoa pesa yake binafsi, hiyo ni Kodi zetu, tumewaweka mtutumikie, sio hisani,ni upuuzi na dharau mkitaka tuwashukuru kufanya kazi "mliyoomba" Na tunawalipa mshahara, kama hamuwezi, achieni ngazi!
 
Ukitaka kujua mambo ya Lissu na Wasira, rejea kesi ya Easter Bulaya huko Bunda na utajua ni nani alikuwa mshindi kisheria. Ni hivyo tu.
 
Ukitaka Tundu Lissu akae na awe Mpole basi mlete nguli wa sheria Mzee wetu Wassira.

Wote Wamarekani hawa

Nitajaribu kumtafuta pale Maktaba kwake aje atufungie huu Mjadala wa Muungano

Kaa Chonjo 😄
Je hata ya ukwapuaji wa wala kwa urefu wa kambaa🤔
 
Ni ngumu sana kushindana na ukweli na haki, ni wakati wa ukweli na haki kutendeka hivyo wa kuzuia hiki anachozungumza Lissu.
 
Back
Top Bottom