Nimefika safari yangu, wife hajaniuliza hata kama nimefika salama

Inaumiza sana lakini ukweli ni kwamba tayari imeshajionesha ktk ndoa yenu wewe ndo unampenda sana kwahiyo kiburi cha kupendwa kimemuingia.

Hiki ni kiburi kibaya ndani ya ndoa, kiburi kinachomfanya mwanamke asitambue sehemu yako kama mume ndani ya maisha yake.
 
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.

Nifanyaje wakubwa?
Ndio walivyo we timiza majukumu yako mengine yapuuzie tu , vitu kama hivi unaenda kujipoza kwa bi mdogo ukifika unamchora tu ndio dawa yao
 
Back
Top Bottom